Misingi ya Uongozi Binafsi kwa Wamiliki wa Biashara

About Course
Kozi hii imeundwa maalum kwa wamiliki wa biashara, wajasiriamali, na viongozi wanaotaka kufikia mafanikio endelevu kupitia kujitambua, kuwa na maono, nidhamu, kusimamia muda, kujenga mitandao imara, na kufanya kazi kwa misingi ya maadili na uwajibikaji.
Course Content
Utangulizi wa Kozi
-
Dhumuni la Kozi
-
Matokeo Unayotarajia (Learning Outcomes)
Kujitambua (Self-Awareness)
Lengo na Kusudi (Purpose & Vision)
Nidhamu na Uimara wa Akili (Discipline & Mental Resilience)
Muda na Vipaumbele (Time & Priorities)
Uhusiano na Mtandao (Relationships & Networking)
Maadili na Uwajibikaji (Integrity & Accountability)
Pata cheti
Ongeza cheti hiki kwenye wasifu wako ili kuonyesha ujuzi wako na kuongeza nafasi zako za kutambuliwa.
