Kuelewa Fedha za Biashara na Binafsi (Business vs. Personal Finances)

About Course
Katika kozi hili, utajifunza jinsi ya kutenganisha fedha za biashara
na zile binafsi, kusimamia faida (profit) ili kukuza biashara, kufahamu
takwimu muhimu za kibiashara, na jinsi ya kuwekeza kwa niaba ya
biashara ili kujenga kipato cha ziada (passive income).
Course Content
Utangulizi
-
Malengo ya kozi
Kutenganisha Akaunti za Biashara na Binafsi
Mazoezi, video na vitabu
Pata cheti
Ongeza cheti hiki kwenye wasifu wako ili kuonyesha ujuzi wako na kuongeza nafasi zako za kutambuliwa.
