- Kutambua umuhimu wa kuwa na mifumo (systems) katika biashara.
- Kuwa na mwongozo wa hatua kwa hatua juu ya jinsi ya kuanzisha mifumo hii.
- Kuelewa tofauti kati ya kufanya kazi “kwenye” biashara (in the business) na “juu ya” biashara (on the business).
- Kujifunza jinsi ya kuandika miongozo (manuals) inayoeleweka na kusaidia katika mafunzo ya wafanyakazi.
- Kuboresha mbinu za kujenga na kusimamia timu yenye ufanisi mkubwa.