Business
Majadiliano ya kimkakati kwa biashara, ndogo na za kati (SMEs)
9 lessons
Several hours
course.
sw
Instructor: GTA
Ni kozi maalum iliyoundwa kuwanoa wajasiriamali na wamiliki wa biashara ndogo na za kati (SMEs) ili waweze kufanya majadiliano ya kibiashara kwa mafanikio. Kozi hii inalenga kubadilisha mtazamo wa wajasiriamali kuhusu majadiliano, ikifundisha kuwa majadiliano sio mgogoro bali ni zana ya kimkakati ya kulinda na kuunda thamani pamoja na kukuza biashara.
TSh 40,000
Have an account? Sign In
- Lifetime Access
- Learn at any time
- Completion Certificate
What You'll Learn
Mtazamo wa Kimkakati wa Majadiliano
Kutumia Mbinu ya BATNA (Njia Bora Mbadala ya Makubaliano)
Mitindo 5 ya Majadiliano
Hatua na Mchakato wa Majadiliano
Ujuzi Muhimu wa Kila Siku kwa SMEs
Kuepuka Makosa ya Kawaida ya Majadiliano
Uzoefu Halisi na Tathmini
Course Curriculum
Utangulizi
Umuhimu wa negotiation
Mtazamo wa majadiliano kwa SMEs (negotiation mindset for SMEs)
Wakati sahihi wa kuingia kwenye majadiliano
BATNA - Njia bora mbadala ya makubaliano
Mitindo mitano 5 ya majadiliano
Mchakato wa majadiliano
Ujuzi muhimu wa majadiliano kwa SMEs
Makosa ya kawaida ya majadiliano
Instructor
F
GTA
Instructor